UPDATES: PICHA 3 IPad za Kielektroniki walizokabidhiwa Rais JPM, Makamu wa Rais, na Rais wa Zanzibar.

Ni vifaa vya kisasa vyenye uwezo wa hali ya juu , IPad hizo zitawasaidia wakuu wa nchi kupokea Taarifa za mapato ya kila siku nchi nzima. 

Taarifa zote za mapato Tanzania Bara pamoja na mapato yote Zanzibar zitaonekan katika vifaa hivyo. 


0 Comments:

Post a Comment