MICHEZO : Kiungo Wa Stand United Chidiebere Abasirim yupo Sokoni

Striker Hugo ameandika haya hivi karibuni baada ya kumaliza Mkataba wake na timu ya Stand United.
Staa Hugo Amesem ijapo muda wake na Stand United umekwisha bado atawasikiliza viongozi wake Wa Stand United. 
Bw. Chidiebere Abasirim ameeleza kwakuwa yeye ni mchezaji huru kwa sasa anakaribisha Vilabu vinhine kumchukua.
"Mkataba wangu wa Stand United umemalizika Juni 1, 2017 kuanzia sasa mimi ni mchezaji huru. Hadi sasa bado hakuna mazungumzo yoyote kati yangu na Stand lakini bado muda upo nasubiri kusikia kutoka kwa viongozi wangu kama wataniambia chochote.”
“Kwa sababu mimi ni mchezaji huru, nakaribisha vilabu vingine ambavyo vinavutiwa na mimi tuzungumze kama tukifikia makubaliano nipo tayari kucheza sehemu yoyote kwa sababu soka ndio kazi yangu.”

0 Comments:

Post a Comment