EXCLUSIVE: Alichoongea Mtei kufuatia kifo cha mzee Ndesamburo

Kushoto Mzee Edwin Mtei akihojiwa na Grace Macha (Blogger). Picha kwa hisani ya V.O.A TV

Baada ya kufariki Ndesamburo Mwanzilishi Wa CHADEMA MZEE Edwin Mtei amesema hakuwahi kuwa na tofauti na Marehemu Ndesamburo.

Mtei aliyasema hayo katika Interview na V.O.A TV Nyumbani kwake Arusha.


Aidha ameeleza masuala kadha ikiwa pamoja na Kumsifu mwenyekeiti Wa CHADEMA Wa sasa Mh. Freeman Mbowe .

Nakuongeza kuwa Lengo la CHADEMA ni kuchukua madaraka na kwamba mwaka 2020 lazima CHADEMA itachukua Madaraka.

Play Video hapa chini akiongea Mh. Edwin Mtei
                

Endelea kutembelea Kurasa zetu za Facebook , Instagram, Twitter bila kusahau kutazama latest Video zote katika V.O.A TV YouTube

0 Comments:

Post a Comment