IJUE HISTORIA YA MWENGE

JE, WAJUA NANI ALIANZISHA

MWENGE?

MJUE FARAJA GANZE,
MCHAWI
WANZILISHI WA MWENGE WA

UHURU (Huu Tuuonao Hadi LEO)!



"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau

"Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl.Nyerere, Ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa Mwenge wa Uhuru. Kinachonishangaza hapa ni kile kipengele kisemacho"UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU"..... Inamaana ndani ya nchi tubaki gizani kama tulivyo sasa? Na kwann Forojo Ganze hakutangazwa kama mwanzilishi wa Mwenge?

Huyu Forojo Ganze,alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru kule bagamoyo, walipewa kazi ya kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote(Mwl.Nyerere), zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo,zoezi hilo lilienda sambamba na kumuuliza shetani na malaika zake ni jambo gani lifanyike ili Tanzania iendelee.Forojo Ganze ndiye mtu pekee aliyeingia ktk hilo shimo kwaajili ya kuuliza, alikaa huko kwa muda wa siku 10 huku akiwa amewaacha wenzake nje wakimgoja atakuja na jibu gani ili wakampatie rais na wazee wa Dar es salaam,kilichoshangaza siku ya kumi na moja alitoka akiwa hoi hajiwezi akiwa kama mtu aliyepigwa na alikuwa anaongea lugha isiyofahamika,wenzake wakiwa wanaongozwa na Yahaya Hussien walimbeba hadi ikulu Dar es salaam na walipomfikisha mbele ya mwalimu Nyerere alitamka maneno hayo yanayohusu mwenge kwa kiswahili kisha akanyoosha juu mkono wake wa kulia ambao tayari ulikuwa umeandikwa namba hii 115,kisha akakata roho.

-Baada ya mazishi mwalimu aliyafanyia kazi maneno ya Forojo Ganze akaanzisha mwenge wa uhuru bila kujua ulikuwa na maana gani, baada ya hapo aliwagiza yahya Hussein atafasiri maana ya ile namba 115, kama kawaida ya shehe Yahaya alitafasiri akamwambia kuwa namba hiyo inamaanisha "utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na taifa la Tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wa miaka 38.Hii inamanisha ukichukua 77 umri wa mwalimu jumlisha 38 umri wa taifa utapata 115, na hii ndivyo ilivyokuwa, mwaka 1999 mwalimu alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru (77+38=115) pia utamaduni wa rais kuongea na wazee wa Dar es salaam unaendelea hadi sasa na wamekuwa na maamuzi ya kitaifa na husikilizwa sana wanachokisema,mbona haijawahi kutokea rais akaongea na wazee wa bukoba jambo la kitaifa?,zindiko la bagamoyo linafanya kazi.

Safu hii ilikuwa ya watu 5 ambao ni.

1.mzee ramadhan,alizaliwa mwaka 1920
,2.Ally tarazo(1929),

3.Komwe wa Komwe(1918)

4.Sheihe Yahya Hussein(1925),na

5.Forojo Ganze (1902)

:Huyu Forojo Ganze, alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru kule bagamoyo.

Walipewa kazi ya kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote (Mwl.Nyerere). Zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo.

Zoezi hilo lilienda sambamba na kumuuliza shetani na malaika zake ni jambo gani lifanyike ili Tanzania iendelee. Forojo Ganze ndiye mtu pekee aliyeingia ktk hilo shimo kwa ajili ya kuuliza.

Alikaa huko kwa muda wa siku 10 huku akiwa amewaacha wenzake nje wakimgoja atakuja na jibu gani ili wakampatie rais na wazee wa Dar Es Salaam.

Kilichoshangaza siku ya kumi na moja alitoka akiwa hoi hajiwezi akiwakama mtu aliyepigwa na alikuwa anaongea lugha isiyofahamika.

Wenzake wakiwa wanaongozwa naYahaya Hussien walimbeba hadi ikulu Dar Es salaam na walipomfikisha mbele ya mwalimu Nyerere alitamka maneno hayo yanayohusu mwenge kwa Kiswahili kasha akanyoosha juu mkono wake wa kulia ambao tayari ulikuwa umeandikwa namba hii 115, kisha akakata roho.

Baada ya mazishi mwalimu aliyafanyia kazi maneno ya Forojo Ganze akaanzisha mwenge wa uhuru bila kujua ulikuwa na maana gani.

Baada ya hapo aliwagiza Yahya Hussein atafasiri maana ya ile namba 115. Kama kawaida ya sheheYahaya alitafasiri akamwambia kuwa namba hiyo inamaanisha "utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na taifa la Tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wamiaka 38,hii inamanisha ukichukua 77 umri wa mwalimu jumlisha 38 umri wa taifa utapata 115, na hii ndivyo ilivyokuwa.

Mwaka 1999 mwalimu alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru (77+38=115).

Pia utamaduni wa rais kuongea na wazee wa Dar Es salaam unaendelea hadi sasa na wamekuwa na maamuzi ya kitaifa na husikilizwa sana wanachokisema.
Mbona haijawahi kutokea rais akaongea na wazee wa Bukoba jambo la kitaifa?
Zindiko la Bagamoyo linafanya kazi. Safu hii ilikuwa ya watu 5 ambao ni.

1. Mzee Ramadhan, alizaliwa mwaka 1920,

2. Ally Tarazo(1929),

3. Komwe wa Komwe(1918),

4. Sheihe Yahya Hussein(1925),na

5. Forojo Ganze (1902)
KUTOKA KUSHOTO MBELE:

(1)TEWA SAID TEWA
(2)H.MAKAME

(3)OSCAR KAMBONA(mambo yanje

(4)AMIR JAMAL (FEDHA)

(5)ABEID KARUME (RAIS wa ZNZ)

(6)SOLOMONI ELIUFOO

(7)NYERERE(RAIS WA MUUNGANO)

(8)LAWI NANGWANDA SIJAONA

(9)RASHID KAWAWA (MAKAMU)

(10)BHOKE MUNANKA

(11)IDRISSA ABDUL WAKIL


KUTOKA KUSHOTO NYUMA:

(1)KASSIMU HANGA

(2)DERECK BRYCESON

(3)JOB LUSINDE

(4)ABRAHAMU BABU

(5)AUSTIN SHABA

(6)ABDUL JUMBE

(7)CHEDIEL MGONJA

(8)SAID MASWANYA.
Kutoka kushoto kwenda kulia ni:

(1)Abdulaziz Twala (Msaidizi Waziri katika Ofisi ya Rais)

(2)Aboud Jumbe (Waziri wa Siha na Majumba)

(3)Hasnu Makame (Waziri wa Fedha na Maendeleo)

(4)Othman Shariff (Waziri wa Elimu na Mila)

(5) Abdulrahman Babu (Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara)

(6)Abeid Karume (Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar)

(7)Abdallah Kassim Hanga (Makamu wa Rais)

(8)Saleh Saadalla (Waziri wa Kilimo)

(9)Idris Abdul Wakil (Waziri wa Kazi ( Njia na Nguvu za Umeme) na

(10) Hassan Nassor Moyo (Msaidizi Waziri wa Kazi, Njia na Nguvu za Umeme).
NYERERE,

MABARAZA YAKE
YA
MAWAZIRI

TANGU ALETE UHURU (1961),

HADI

ALIPOSTAAFU

( NOVEMBER,1985)
BARAZA LA KWANZA LA

MAWAZIRI ZANZIBAR

(JANUARY 1964)
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kutoka kushoto:

Mstari wa nyuma ni;

(1)JOB LUSINDE

(2)RASHID KAWAWA(Makamu)

(3)NSILO SWAI

(4)OSCAR KAMBONA

(5)TEWA SAID TEWA

(6)J. MECK

Kutoka kushoto,
Mstari wa mbele ni;-

(1)PAULO BOMANI

(2) ABDALLAH FUNDIKIRA

(3)RAIS Nyerere

(4)ERNEST VASSEY na

(5)AMIR JAMAL(Fedha)
BARAZA LA KWANZA

LA

MAWAZIRI

BAADA LA MUUNGANO
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
BARAZA LA KWANZA LA NYERERE
LA
TANGANYIKA HURU
(9 DEC. 1961)
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
MAWAZIRI TANZANIA
TANGU

NYERERE

HADI

( KIKWETE )

HISTORIA YA BARAZA LA

MAWAZIR I NCHINI

TANZANIA
KILA Wakati Baraza la Mawaziri linapotangazwa kunakuwa na sura mpya ambazo zinaingia na sura za zamani ambazo zinaondoka, lakini pia rekodi zikiwekwa kutokana na historia ya nchi, kuanzia nafasi ya rais hadi mawaziri wadogo.

-Tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961, kumekuwepo na watu tofauti walioshika nafasi ya rais, makamu wa rais, waziri mkuu na nafasi nyingine za uwaziri.

-Makala hii inajaribu kuangalia watu tofauti walioshika nyadhifa hizo tangu Tanganyika ilipopata uhuru na baadaye kuungana na Zanzibar mwaka 1964 ili msomaji aweze kupata picha ya nchi ilikotokea, ilipo na inakoelekea kila wakati baada ya uchaguzi.

(A)MARAIS

Julius Kambarage Nyerere, muasisi wa taifa la Tanzania aliyeongoza nchi ya Tanganyika kuanzia mwaka 1961 hadi 1964 wakati ilipoungana na Zanzibar na kuongoza Serikali ya Muungano wa Tanzania hadi mwaka 1985.

(2)Ali Hassan Mwinyi, rais wa serikali ya awamu ya pili aliyeongoza mwaka 1985 hadi 19895.

(3) Benjamin Mkapa, rais wa serikali ya awamu ya tatu aliyeongoza nchi kuanzia mwaka 1995 hadi 2005

(4) Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa serikali ya awamu ya nne aliyeingia madarakani mwaka 2005 na kuchaguliwa tena.

(B) MAKAMU WA RAIS

Nafasi ya Makamu wa Rais (wakiwemo makamu wa pili wa rais)

(1). Sheikh Abeid Amani Karume, alikuwa makamu wa rais mwaka 1964-1972

(2)Rashid Mfaume Kawawa, alikuwa makamu wa pili wa rais mwaka 1962-1965;

(3). Aboud Jumbe alikuwa makamu wa rais kuanzia mwaka 1972 hadi 1984

(4). Idris Abdul wakil alikuwa makamu wa Rais chini ya uongozi wa Mwalimu Nyerere

(5). Ali Hassan mwinyi alikuwa makamu wa rais kuanzia mwaka 1984 hadi 1985chini ya Mwalimu Nyerere)

(6)Joseph Sinde Warioba alikuwa makamu wa rais 1985 hadi 19907.

-John Malecela alikuwa makamu wa rais 1990 hadi 19948

-Cleopa Msuya alikuwa makamu wa rais kuanzia 1994 hadi 19959.

-Dk Omari Juma alikuwa makamu wa rais kuanzia 1995 hadi 2001 10.

- Dk. Ali Mohammed Shein alikuwa makamu wa rais kuanzia 2001 hadi 2010C.


MAWAZIRI WAKUU

(1)Julius Kambarage Nyerere alikuwa waziri mkuu wa kwanza mzalendo wa Tanzania kuanzia mwaka 1960 hadi 1961 na baadaye mwaka 1961 hadi 1962 wakati huo ikiwa ni Tanganyika. Kwa mujibu wa katiba ya 1961, Waziri Mkuu ndiye alikuwa kiongozi mkuu wa serikali.
Katiba ilipobadilishwa mwaka 1962, urais ndio ukawa cheo cha juu zaidi nchini, nyerere akishika nafasi hiyo.

(2) Rashid Mfaume Kawawa alikuwa waziri mkuu kwa mwaka mmoja 1962. Baada ya nafasi hiyo kufutwa na kurejeshwa mwaka 1972, Kawawa alikuwa tena waziri mkuu hadi 1977.

(3). Edward Moringe Sokoine, alikuwa WM kuanzia 1977 hadi 1980.

(4) Cleopa David Msuya ambaye alikuwa WM kuanzia 1980 hadi 1983

(5)Edward Sokoine alirejeshwa mwaka 1983 hadi 1984

(6)Dk Salim Ahmed Salim alikuwa WM kuanzia 1984 hadi 1985

(7) Joseph Sinde Warioba, 1985 hadi 19908

(8)John Malecela alikuwa WM kuanzia 1990 hadi 1994

(9)Cleopa David Msuya alikuwa WM kuanzia 1994 hadi 1995

(10) Frederick Sumaye alikuwa WM kuanzia 1995 hadi 20057.

(11) Edward Ngoyai Lowassa alikuwa WM kuanzia 2005 hadi 2008

(12) Mizengo Pinda alikuwa WM kuanzia 2008 hadi sasa.D.

OFISI YA RAIS

Mawaziri-Ofisi ya Rais (Ikulu)

-Ali Hassan Mwinyi alishikilia Ofisi ya Rais kuanzia 1970 hadi 19752.

-Profesa Kighoma Ali Malima, alishikilia ofisi hiyo hadi mwaka 19903

-Amran Mayagila 1990 hadi 19954

- Fatma Saidi Ali alishughulikia utumishi wa umma.

-Wilson Masilingi alishughulikia utawala bora 1995 hadi 2000

-Sofia Simba alishughulikia utawala bora 2008 hadi 2010

-Hawa Ghasia alishughulikia Menejimenti ya Utumishi wa umma kuanzia 2006-2010

MAWAZIRI-OFISI YA MAKAMU WA RAIS

-Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa waziri ofisi ya rais kuanzia 1970-19752.

-Edward Moringe Sokoine alikuwa Waziri wa Nchi kati ya 1970 na 1975.

-Muhammad Seif Khatibu alishikilia ofisi kuanzia 1988 kuchukua nafasi ya Salim Ahmed Salim.

-Muhammad Seif Khatib alishughulikia Muungano mwaka 2008 hadi 2010

-Dk. Batilda Burian (Masuala ya Mazingira)

Dk. Husesein Mwinyi (Masuala ya Muungano) (2006-Februari 2008)8.

-Mark Mwandosya (Mazingira) (2006-Februari 2008)MAWAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU1.

-Peter Kisumo (Utawala wa Mikoa na Maendeleo ya Vijijini (1970-1975)

-Robert Ng'itu alikuwa waziri mdogo kati ya 1977 na 1980)3. Edward Lowassa alikuwa Ofisi ya Waziri Mkuu kuanzia 19904.

-Dk. Batilda Buriani alishughulikia Sera na Utaratibu wa Bunge 2006 hadi 20085.

-Philip Marmo (sera na Uratibu wa Bunge)

-Aggrey Mwanri


WIZARA YA AFYA

-Dk. Stirling (Waziri)

-Derek Bryceson alipewa wizara hiyo kabla ya uchaguzi wa mwaka 1965.
-Awali alikuwa Waziri wa Kilimo3. Lawi Nangwanda Sijaona alishikilia wizara hiyo kati ya 1970 na 1975)

-Dk Aaron Chiduo

-Prof Philemon Sarungi

- Prof David Mwakusya (2005-2010)


WIZARA YA ARDHI NA

-Lawi Nangwanda Sijaona alikuwa waziri mwaka 1965

-Austin K.E. Shaba (Mtwara), kati ya 1962 na 1965.

-Musobi Mageni alishikilia wizara hiyo kuanzia mwaka 1963

John Mhaville, alikuwa kati ya 1970 na 1975

-Thabita Siwale

-Gideon Cheyo

-Mercel Komanya, mwaka 1990

-Edward Lowassa

-John Pombe Magufuli kuanzia 2006 hadi 2008

- John Chiligati, kuanzia 2008 hadi 201


WIZARA YA ELIMU

-Solomon Eliufoo, kuanzia 1962 hadi 19652.

-Chediel Mgonja, kuanzia 1970 hadi 1975

-Abel K. Mwanga

-Nicholaus Kuhanga, kuanzia 1977 hadi 1980

-Padri Simon Chiwanga

-Thabitha Siwale

-Prof Philemon Sarungi,alikuwa Waziri wa Elimu na Utamaduni

- Margareth Sitta, Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuanzia 2006 hadi 2008

-Profesa Jumanne Maghembe, Elimu ya Juu kuanzia Februari 2008 hadi 2010


SAYANSI, TEKNOLOJIA, NA ELIMU

YA JUU

-Dk William Shija, alikuwa waziri wa kwanza wizara hiyo ilipoundwa

-Professa Peter Msolla, alishikilia wizara hiyo kuanzia 2008 hadi 2010Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi (sasa wizara ya Miundombinu)

-Mustafa Nyang'anyi

-William Kusila

-Dk Shukuru Kawambwa


WIZARA YA FEDHA

-Mark Bomani, alikuwa Waziri wa Fedha na Uchumi na Mipangokati ya 1962 na 1965

-Abdulrahman Mohamed Babu, kuanzia mwaka 1970 ambaye alikuwa waziri wa Biashara na Viwanda

-Amir Jamal, kati ya 1970 na 19753.

-Abdulrahman Mohamed Babu, kati ya 1975 na 19754.

-Paul Bomani, kuanzia 1965)5. Amir Habib Jamal6.

-Edwin Mtei, kati ya 1977-19807. Profesa Kighoma Ali Malima

- Cleopa David Msuya (Mwanga)

-Profesa Simon Mbilinyi

- Steven Kibona (1990)(Awamu ya Mwinyi)

-Daniel Yona, kuanzia 1995 hadi 2000)

-Basil Pesambili Mramba, kati ya 2000 na 2005

-Zakhia Hamdani Meghji14. Mustafa Mkulo,


WIZARA YA ULINZI

-Abdallah Twalipo, kuanzia 19852.

-Philemon Sarungi

-Profesa Juma Kapuya.

-Dk Hussein Mwinyi(b) Manaibu waziri1.

-Seif Bakari, kati ya 1977 na 1980, akiwa waziri mdogo

-Abdallah Twalipo, kuanzia 19853.

-Edgar Maokola Majogo, kuanzia 1995 hadi 2000)

- Emmanuel Nchimbi

-Dk. Hussein MwinyiWizara ya


MAMBO YA NDANI

- Job M., Lusinde, alikuwa waziri kuanzia 1962 hadi 19652.

- Said Maswanya, kuanzia 1970 hadi 1975.

-Ali hassan Mwinyi, alijiuzulu kutokana na mauaji ya Shinyanga

- Muhidin Kimario, kuanzia 1985

- Augustino Lyatonga Mrema, hadi mwaka 1995 alipoihama CCM, pia alichukuliwa kama naibu waziri mkuu

-Lawremce Masha

NISHATI NA MADINI

-Jeremiah S. Kasambala, alikuwa waziri kati ya 1962 hadi 1965 alipoangushwa kwenye uchaguzi

-Wilbert Chagula, kuanzia 1970 hadi 1975.

-Wizara ya Maji na Niashati ilikuwa mpya kwenye baraza la 1970.

-Awali ilikuwa chini ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, wakati Nishati ilikuwa chini ya Wizara ya Biashara na Viwanda.

-Al-Noor Kassum, kati ya 1977 na 1980

-John Malecela, hadi 1985

-JAKAYA KIKWETE, kuanzia 1990.

-Daniel Yona, hadi mwaka 2005 -

-Shamsa Selesia Mwangunga (2006-Feb 2008)

-William Ngeleja

4 comments:

  1. Historia nzuri kwa vizazi ila ngumu kuthibitisha sababu za kichawi zilizoainishwa. Ni vibaya kama zimetengenezwa ila hongera kama uchunguzi ulifanyika. Ila mengi yalifanyika kunusuru taifa kutoka kwa wageni.

    ReplyDelete
  2. Historia Nzuri sana. Hongera muhandishi.

    ReplyDelete
  3. Katika historia hii je ni kipi au kwa jinsi gani miviga inaweza kuhusishwa na mwenge wa uhuru ??

    ReplyDelete