UPDATES: Kama ulipitwa na walichosema BAVICHA kuhusu Kudhalilishwa Mnyika , Alivyo dhalilishwa na mengine mengi ninekuwekea hapa .

Kama unakumbuka Msomaji wangu mwezi June tarehe 02 kulitokea mtafaruku ambapo Mbunge John Mnyika alelitolewa nje ya Binge kwa Amri ya Spika Job Ndugai. 
Hapa chini ni kauli ya Baraza la vijan la CHADEMA BAVICHA ambapo kwa pamoja walilaani vikali kitendo hicho walichokiita kudhalilishwa kwa Mbunge Mnyika.

Full video Alivyotolewa Mnyika Bungeni iko hapa chini

0 Comments:

Post a Comment