HIVI PUNDE: Lowassa awasili nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo

Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa na Mjumbe Wa Kamati kuu ya CHADEMA amefika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kutoa pole na kutia sahihi kitabu cha maombolezo.


0 Comments:

Post a Comment