Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amepokelewa kwa shangwe na umati mkubwa wa wananchi wa Mbalizi leo tarehe 29 Machi 2025.
Akiwa katika ziara yake, Lissu amekutana na viongozi wa chama pamoja na wananchi, tayari kutoa hotuba muhimu yenye ujumbe wa matumaini na mabadiliko.
#NoReformsNoElections
0 Comments:
Post a Comment