NDAKIDEMI AKIWA NA WABUNGE NA MAKADA WENGINE KUWALAKI VIONGOZI WA CCM TAIFA
KARIBUNI SANA VIONGOZI WETU
NA Gift Mongi
Moshi
VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi kutoka wilaya ya Moshi vijijini wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya, Siril Mushi wakiwa pamoja na Mbunge wa Jimbo la Moshi vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei katika viwanja vya ccm mkoa wakimsubiria Katibu Mkuu wa CCM Balozi Emmanuel Nchimbi, Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla

0 Comments:
Post a Comment