MBUNGE ATAKA KUJUA HATMA YA AJIRA KWA VIJANA NCHINI

 MBUNGE ATAKA KUJUA HATMA YA AJIRA KWA VIJANA NCHINI

Na Gift Mongi, Dodoma


Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi aliuliza swali la Msingi  na maswali mawili ya nyongeza bungeni kama ifuatavyo:


Je Serikali inatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa kiasi gani kwa vijana kabla hawajapatiwa huduma za mikopo toka kwenye mfumo wa maendeleo ya vijana?


Tusikie majibu kutoka kwa Patrobas Paschal Katambi,  Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu




0 Comments:

Post a Comment