MATUKIO MBALIMBALI RAIS SAMIA AKIFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA PAPU ARUSHA


Rais, Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika, (PAPU Tower) lililopo Philips, Jijini Arusha
Leo Septemba 02, 2023 wengine ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari  Nape Nnauye.








RAIS, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabiri Bakari, alipotembelea ofisi za TCRA Kanda ya Kaskazini zilizopo ndani ya jengo hilo jengo jipya.

Rais, Samia Suluhu Hassan akipokea maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo, juu ya eneo likilopo ndani ya jengo jilo ambalo Misri wameweka samani na kulinakshi kwa ajili ya kutangaza utamaduni wao. wengine ni  Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari  Nape Nnauye.


0 Comments:

Post a Comment