SAMIA : WATENDAJI , MADIWANI ACHENI MALUMBANO CHAPENI KAZI

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala kwenye hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.(Picha na Ikulu).



0 Comments:

Post a Comment