SAMIA AKIAPISHA WAKUU WA MIKOA NA MARAS IKULU

Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga, Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa mara baada ya tukio la Uapisho, Ikulu Jijini Dar es Salam tarehe 01 Agosti, 2022. 


 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Albert John Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Halima Omari Dendego kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Fatma Abubakar Mwasa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022. 






0 Comments:

Post a Comment