PICHA VIDEO MUONEKANO MPYA WA SABAYA AKIMBUSU MCHUMBA WAKE MAHAKAMANI

 

Huu ndiyo muonekano mpya wa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya mara baada ya mahakama kumpa adhabu ya kifungo cha miaka 90 kwa makosa ya unyang'anyi wa kutumia silana na makundi.

 Sabaya na aliyekuwa msaidizi wake binafsi, Silvester Nyegu na Daniel Bura wanatumikia kifungo hicho kwenye gereza la Kisongo mkoani Arusha.

Wafungwa hao bado wanakabiliwa na kesi nyingine ya uhujumu uchumi inayoendelea kwenye  mahakama ya hakimu mkazi Arusha mbele ya Hakimu mkazi , Patricia Kisinda.

Kwwnye shauri hilo upande wa Jamhuri wanatarajia kuleta mashahidi 20 na vielelezo 16 ambapo tayari mshahidi watano wameshafika mbele ya mahakama hiyo.
 

0 Comments:

Post a Comment