LIVE UPDATES HARUSI YA MTOTO WA TB JOSHUA ARUSHA

 Leo Mei 8, 2021 Mtoto wa Nabii Mashuhuri wa nchini Nigeria, TB Joshua, Sarah Temitope Joshua anafunga ndoa  na kijana wa Tanzania, Brian Ovin Mushi kwenye kanisa katoliki Parokia ya Moyo Safi wa Bikira  Maria, Unga Limited.










Maharusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na mapadre waliofungisha ndoa

Maharusi wakiwa na wazazi wa pande zote pamoja na mapadre waliofungisha ndoa 





Wazazi wa maharusi wakifurahi baada ya vijana wao kufunga ndoa na kuvalishana pete 


Sarah akimvalisha pete Brian


Brian akimvalisha pete Sarah


















Gari iliyotumika kuwaleta kanisani maharusi

Magari yaliyotumika kuwaleta kanisani wazazi

 gari yaliyotumika kuwaleta kanisani ndugu wa maharusi

Mapadre walioongoza misa ya harusi


Paroko wa kanisa hilo,Padre Festus Mangwangwi akitoa mahubiri


 Mke wa TB Joshua(mwenye Lemba) na mama wa bwana harusi (Mwenye kofia) waliposimamishwa na padre wakati wa mahubiri 


0 Comments:

Post a Comment