JPM AMTUMBUA NAIBU KATIBU MKUU

Rais ⁦John Pombe Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu-Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt Ave Maria Semakafu nafasi hiyo kujazwa baadaye. taarifa hiyo imetolewa na mkurugenzi wa mawasiliano YA Rais, Gerson Msigwa

0 Comments:

Post a Comment