Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Bahi waliosimama barabarani kuzuia msafara wake uliokuwa njiani kuelekea Manyoni kuendelea na mikutano ya kampeni, ikiwa ni siku ya kwanza baada ya zuio la kampeni zake kwa muda wa siku 7.
WAPENDANAO WAPOKEA SIMU YA NGORONGORO, WAJIMWAGA NDANI YA HIFADHI
KUNAWIRISHA PENZI LAO
-
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Kama wewe unahisi Penzi lako linalegalega na kuishiwa Pawa hujachelewa,
mshawishi mpenzi, mume au mke wako mje Bustani ya ...
2 hours ago

0 Comments:
Post a Comment