Mahakama kuu ya Tanzania inatarajia kuanza kuaimiliza maombi ya dhamana iliyotolewa na Yusuf Manji mwezi August 4 2017
Jaji Isaya Atufani ameiambia ameiambia vyombo vya Habari kuwa baada ya mawakili wa Serikali Paul Kadushi na Simon Wankyo kuyapokea maombi hayo na kuwa wana nia ya kuyapinga huku jaji akisema anakubaliana na hoja zao na agosti 4 maombi ombi hilo la dhamana litaanzwa kuaikilizwa.
Manji ameomba dhamana hiyo Mahakama kuu itengue hati ya kunyimwa dhamana iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa mashtaka DPP kufuatia matatizo ya afya akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Katika maombi hayo Yusuf Manji anaiomba Mahakama Kuu itengue hati ya kunyimwa dhamana iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa kuwa ana matatizo ya kiafya akisumbuliwa na matatizo ya moyo.

0 Comments:
Post a Comment