Meya Kalisti Lazaro Asema Vikundi zaidi ya 96 vimepewa Mikopo Jijini Arusha

Meya wa jiji la Arusha Calist Lazaro akizungumza na wananchi juu ya miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa na halmashauri tokea walipoingia madarakani 2015.

Amesema wamefanikiwa kutoa mikopo kwa vikundi zaidi 96 vya kina mama na vijana pamoja na kuweka mtandao wa lami kwenye eneo kubwa la jiji.


0 Comments:

Post a Comment