Wakati ikisubiriwa official video ya performance ya Diamond Platnumz katika Karoga Festival Nairobi Kenya hii ni kionjo cha show hiyo kutoka V.O.A TV , ambapo msanii huyo aliwapagawisha mashabiki wake nchini Kenya , kilichofirahisha zaidi ni pale alipomsifu Mchekeshaji maarufu Afrika Mashatiki Mkenya Eric Omondi.
Play video toka V.O.A TV hapa
Play video toka V.O.A TV hapa
0 Comments:
Post a Comment