EXCLUSIVE: Baada ya Prof. Kitila Mkumbo sasa ni zamu ya Anna Mgwira kuwa RC Kilimanjaro , kumbuka ni aliyekuwa mgombea Urais ACT-Wazalendo

Baada ya hivi karibuni Rais Magufuli kumteua Profesa Kitila Mkumbo Wa ACT-Wazalendo kuwa katibu mkuu Wa Wizara ya Maji sasa ni zamu ya Mama Anna Mgwira aliyekuwa mgombea urais Wa Chama hicho mwaka 2015. 

Rais JPM Leo amemteua Anna Mgwira kuwa mkuu wa mkoa Kilimanjaro baada ya aliyekuwa mkuu Wa mkoa huo Said Mecky Sadick Kujiuzulu .

Taarifa ya Ikulu hii chini jionee mwenyewe.

0 Comments:

Post a Comment