List ya manunuzi leo imeongozwa na Rich Mavoko x Harmonize #1 Show me huku ikifuatiwa na Diamond kupitia wimbo wake mpya #2 Acha nikae kimya na namba #3 Mbeleko ya Rayvanny ... nafasi ya nne imechukuliwa na Sauti From East #4. Someone else nafasi ya tano imechukuliwa na Harmonize #5 Niambie
Top Downlods (today)
1. Show me Harmonize x Rich Mavoko

2.Acha Nikae Kimya by Diamond Platnumz

3.Mbeleko by Rayvanny

4. Someone Else by Sauti from East

5. Niambie by Harmonize

Top 5 Trending audios
kwa upande wa Trending audios katika tovuti hiyo ya mauzo ya nyimbo list ni kama ilivyo hapo juu isipokuwa harmonize anakava nafasi ya #3Niambie na nafasi ya tano anaikamatia Amamadodo - Dazlah Ft Naiboi #5Dazlah

0 Comments:
Post a Comment