BARAZA LA WANAWAKE CHADEMA MKOANI ARUSHA LIMETOA SH 580,000 KUSAIDIA MATIBABU YA MTOTO, SALMA (1) AKAFANYIWE UPASUAJI
MSAADA HUO AMETOLEWA LEO NA MWENYEKITI WA BAWACHA MKOANI HAPA, CECY NDOSSY NA YULE WA WILAYA YA ARUSHA HAPPY CHALE PAMOJA NA DIWANI WA KATA YA SOMBETINI, ALLY BANANGA.
MTOTO HUYO ALIZALIWA BILA SEHEMU YABKUTOLEA HAJA KUBWA HALI INAYOMFANYA KWA SASA KUJISAIDIA KUPITIA ENEO LA TUMBO
MAMA WA MTOTO HUYO, MARIAM ANDREA ( 28) ALISEMAKUWA ANAHITAJI ZAIDI YA SH MILIONI MOJA ILI AKAFANYIWE UPASUAJI MARA MBILI KWENYE HOSPITAL YA RUFAA YA KCMC MOSHI ILI AWEZE KUJISAIDIA KWA NJIA YA KAWAIDA
Sent from my iPad
0 Comments:
Post a Comment