Tarehe 16/11/2014 kutakuwa na mdahalo utakaohusu RASIMU
iliyopendekezwa Mdahalo huo utaendeshwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere.
Muda ni kuanzia saa 9 Alasiri. Ukumbi wa Ubungo Plaza. Watoa Mada ni
aliye Kuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji
Joseph Warioba na Baadhi ya waliokuwa wajumbe wa Tume hiyo.
Mdahalo huo utarushwa moja kwa moja na kituo cha ITV.
NB
Kwaniaba ya vijana wazalendo wote,
ninatangaza kuwa kuanzia sasa tutailinda mikutano yote inayohusu
ukosoaji wa kitabu kipya cha ccm walichokipa jina la katiba
pendekezwa. Vile tangu sasa tuwalinda usiku na mchana wajumbe wote wa
iliyokuwa tume ya kukusanya maoni chini ya Mh Jaji Warioba
TRA PWANI YAKAMATA BIDHAA ZA MAGENDO BANDARI YA BAGAMOYO
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Pwani imekamata bidhaa mbalimbali
za magendo katika Wilaya ya Bagamoyo ikiwemo viroba 50 vya mchele, madumu
10 ya ...
8 hours ago
0 Comments:
Post a Comment