Jisomee mwenyewe...Wakati wagonjwa pale Muhimbili, Ocean Road na hospitali nyingine nyingi wanataabika kupata matibabu na dawa kuadimika kwa sababu Serikali haijalipa fedha kama inavyotakiwa kwa MSD, kuna mabilioni yako wazi yanatakiwa kutumika kuokoa CCM na anguko la Katiba Mpya.Soma kwa makini uone fikra za watawala wetu zilipofikia. Wanasema kura ya HAPANA eti itakuwa ni aibu na tahayari kwa Serikali kwa sababu eti Katiba inayopendekezwa ni ya Serikali.
Nyaraka hii imenaswa na 'kumwagwa' hadharani na viongozi wakuu wa UKAWA, walipokutana na waandishi wa habari leo Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha CUF.
TRA YATAKA WANACHAMA WA SACCOS KUHAMASISHA ULIPAJI KODI NA MATUMIZI SAHIHI
YA MIKOPO
-
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka
wanachama wa Saccos nchini kuwa mabalozi wa kuhamasis...
46 minutes ago
0 Comments:
Post a Comment