POLISI ARUSHA WAKAMATA MAGUNIA NANE YA BANGI

JAMHURIYA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARAYA MAMBO YA NDANIJESHILA POLISI TANZANIA
|
|
|
| |



TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARIKUTOKAOFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA
ARUSHATAARIFAYA UKAMATAJI WA WATUHUMIWA WAWILI WAKIWA NA MADAWA YA
KULEVYA AINA YA BANGIMAGUNIA MANNE.MNAMO TAREHE23/09/2014 MUDA WA SAA
23:00 USIKU KATIKA MAENEO YA NDURUMA HALMASHAURI YA JIJILA ARUSHA,
JESHI LA POLISI MKOANI HAPA KUPITIA KITENGO CHA KUZUIA MADAWA
YAKULEVYA TULIFANIKIWA KUWAKAMATA WATU WAWILI AMBAO NI LAIZER S/O
MELAU (35) MKAZI WA ORKOKORA NA RICHARD S/O FANUEL (38) DEREVA NA
MKAZI WA MIANZINI WAKIWA WANASAFIRISHAMADAWA YA KULEVYA AINA YA BANGI
MAGUNIA MANNE YENYE JUMLA YA UZITO WA KILOGRAMU173 KWA KUTUMIA GARI
AINA YA TOYOTACOROLLA LENYE NAMBA ZA USAJILI T.592 AAP.
MAFANIKIO HAYO YALIPATAKANABAADA YA WANANCHI AMBAO NI RAIA WEMA
KUENDELEA KUWA KARIBU NA JESHI LA POLISIAMBAPO WALITOA TAARIFA JUU YA
TUKIO HILO NA JESHI LA POLISI MKOANI HAPA KUANZAKULIFANYIA KAZI KWA
KUWEKA MTEGO MAENEO YA NDURUMA.
MARA BAADA YAKULIONA GARI HILO WALILISIMAMISHA NA WALIPOFANYA UPEKUZI
WALIYAONA MAGUNIA HAYOMANNE NDANI YA GARI HILO, KATI YA HAYO MATATU
YALIKUWA KWENYE ''SEAT'' YAKATIKATI NA MOJA LILIKUWA KWENYE ''BOOT''.
KATIKA MAHOJIANO WATUHUMIWAHAO WALIKIRI KUHUSIKA NA TUKIO HILO NA
WALISEMA KWAMBA, WALIKUWA WANAYAPELEKAMKOANI TANGA. UPELELEZI WA TUKIO
HILI BADO UNAENDELEA NA MARA UTAKAPOKAMILIKAWATUHUMIWA HAO
WATAFIKISHWA MAHAKAMANI. AHSANTENIKWA KUNISIKILIZA. IMETOLEWANA
KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHAKAMISHNAMSAIDIZI MWANDAMIZI WA
POLISI(SACP)LIBERATUS SABASTAREHE25/09/2014. Pichani. Afisa wa Jeshi
la Polisi kutoka Kitengo cha kuzuia Madawa ya Kulevya Mkoani Arusha
D/Cpl Kaleb akiwaonyesha waandishi wa habari (Hawapo pichani) Magunia
yaliyokuwa na madawa ya kulevya aina ya bangi iliyokuwa inasafirishwa
kutoka Arusha kwenda Mkoani Tanga

0 Comments:

Post a Comment