Hatimae Polisi waandamana mpaka makao makuu ya chadema
Wednesday, September 24, 2014
Jeshi la polisi limeandamana bila kibali mpaka kwenye ofisi za chadema ufipa na kuzizunguka maanadamano hayo ambayo yamekuja kipindi ambacho polisi wamezuia mandamano ya chadema nchi nzima haijajulikana wamefata nini au wanataka kumuua nani maana wana silaha nzito nzito....