Na Gift Mongi, Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe ameuliza, Serikali imechukua eneo la KIA kwaajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege na Zahanati ya Tindigani imechukuliwa kwenye eneo hilo.
Je, ni lini Serikali itajenga Zahanati nyingine kufidia hii Zahanati ya Tindigani?
Na haya hapa ndio majibu sahihi ya serikali...
0 Comments:
Post a Comment