MWILI WA HAYATI ALHAJ ALI HASSAN MWINYI UKISWALIWA MSIKITI WA BAKWATA

MWILI WA HAYATI ALHAJ ALI HASSAN MWINYI UKISWALIWA  MSIKITI WA BAKWATA

Viongozi mbalimbali na waumini wa dini ya kiislam kiuswalia Mwili wa Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania kwenye Msikiti wa Bakwata wakati wa Swala ya Ijumaa leo Machi 1,2024

0 Comments:

Post a Comment