Rais wa zamani wa Sierra Leone, Ernest Bai Koroma, ameshtakiwa kwa makosa manne ya uhaini kuhusiana na jaribio la mapinduzi.
Alikana kuhusika na shambulizi dhidi ya kambi ya kijeshi na gereza mjini Freetown mwezi Novemba.
Watu wenye silaha walivamia ghala la kijeshi na magereza, wakiwaachilia wafungwa 2,000. Pamoja na Koroma, watu wengine 12 wameshtakiwa kwa jaribio la mapinduzi, ikiwemo mlinzi wa zamani wa rais huyo.
Mahakama ilisikiliza mashtaka hayo katika mji mku
0 Comments:
Post a Comment