Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na kuteta jambo na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, baada ya ibada ya kuwekwa wakfu (kukaribishwa kazini) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa kuwa Mkuu Mpya wa KKKT, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni maalum, iliyofanyika Jumapili, Januari 21, 2023, katika Kanisa la Azania Front, jijini Dar Es Salaam.
Mkutano Mkuu wa Kilimo Ikolojia Hai kufanyika Machi mwaka huu
-
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Kilimo Hai Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo (TOAM)
linaratarajia kufanya Mkutano MKuu wa Nne Machi 3hadi Machi 5 ...
2 hours ago

.jpeg)
0 Comments:
Post a Comment