Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akutana na Mtaalam wa Masuala ya Utafutaji, Uokoaji na Uratibu, Bw. Turker Fatih Celik kutoka Shirika la Kimataifa la Utafutaji na Uokoaji kwa lengo la kusaidia zoezi la uokoaji na utafutaji maeneo yaliyoathiriwa na maafa maporomoko ya Tope na mawe Hanang'



0 Comments:
Post a Comment