PROFESA NDAKIDEMI ATAKA WANANCHO KUIUNGA SERIKALI MKONO

Na Gift Mongi, Moshi

MBUNGE Wa jimbo la Moshi vijijini Prof Patrick Ndakidemi amewataka wananchi kuiunga mkono serikali iliyopo madarakani ili iweze kuleta maendeleo kwa wananchi wake.




Prof Ndakidemi ametoa kauli hiyo katika hafla ya kupokea vyumba vya madarasa 85 vilivyojengwa kwa kiasi cha bilioni 1.7 ambapo hafla hiyo imefanyika katika shule ya sekondari Himo.




Amesema kuwa kumekuwepo na maneno ya upotoshwaji juu ya fedha hizo za miradi na kuwa ni vyema wananchi wakaunga mkono kile ambacho kimefanyika hususan kwenye nyanja za afya Elimu maji na barabara.

0 Comments:

Post a Comment