KAMISHNA wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini Liberatus Sabas amesifu utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi hilo katika Mikoa ya Lindi na Mtwara, huku akiwataka wananchi kushirikiana na jeshi la polisi katika kulinda amani.
Akizungumza na waandishi katika ofisi za jeshi la Polisi mkoa wa Lindi, Kamishna Sabas amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za uzalishaji kwani mikoa hiyo ina amani ya kutosha.
0 Comments:
Post a Comment