Kutoka Chato mkoani Geita kwenye ibada maalum ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Tayari wananchi wameshawasili katika uwanja wa Magufuli ambapo shughuli za ibada zitafanyika.
CRDB YAADHIMISHA MEI MOSI KITAIFA NJOMBE
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono
wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushirik...
1 day ago







0 Comments:
Post a Comment