BREAKING NEWS: Lema aitwa Polisi kwa mahojiano..


*TAARIFA KWA UMMA*
*Mh GODBLESS J LEMA (MB) Mbunge, Arusha Mjini leo Jumamosi tarehe 02/09 majira ya saa 7:30 mchana amepokea wito wa simu kutoka kwa ROC Mkoa wa Arusha*

*Mh Lema (MB) amefika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha , Ofisi ya RCO majira ya saa 7:30 mchana na Mh Mbunge anaendelea na mahojiano na Jeshi la Polisi*
*Tutawajuza kinachoendela*

*Imetolewa na*

*Ofisi ya Mbunge*
*Jimbo la Arusha Mjini*
*S.L.P 16531*
*Arusha - Tanzania*
02-09-2017

0 Comments:

Post a Comment