VIDEO, UTAMADUNI: Maonesho ya Kitamaduni China Mwaka huu. Play Video Hapa


Tamasha la kitamaduni ChinaKabila la Miao nchini China limefanya tamasha na hafla kusini mwa mji wa Guizhou.Tamasha hilo la kitamaduni limekusanya familia na marafiki mbalimbali na kula chakula cha pamoja,kucheza muziki na kudumisha tamaduni zao.

0 Comments:

Post a Comment