PICHA 8: Meru Community Bank na Arusha Vicoba Empowerments Ltd wameendesha Mafunzo Maalum kwa Vikundi vya kiujasiriamali Arusha

Picha ya pamoja: Mgeni Rasmi Diwani wa Kata ya Kaloleni Emanuel Messy , Mkurugenzi wa Arusha Vicoba Empowerment Ltd, Mwenyekiti pamoja na wanavikundi wanaodhaminiwa na Kampuni ya kuwezesha Vicoba Arusha Vicoba Empowerment Ltd. 

Mwezeshaji MECOB -Meru Community Bank Bw. Honest Mungure (Kushoto) , Kulia ni Bi. Joyce Kimbute Afisa Maendeleo kata ya Levolosi
 

Mwenyekiti wa Arusha Vicoba Empowerment Ltd Bw. Hassan Moses Akifundisha katika Mafunzo hayo,  

Wananchi kutoka katika vikundi tofauti tofauti ambao wameshiriki Mafunzo hayo.

Kutoka kulia Mkurugenzi wa Arusha Vicoba Empowerment Ltd Bi. Grace Macha , Joyce Kimbute Afisa Maendeleo kata Levolosi , na Bw. Honest Mungure Afisa wa benki ya MECOB

0 Comments:

Post a Comment