![]() |
| Diwani wa Kaloleni Mh. Emanuel Kessy Bi. Grace Macha Mkurugenzi AVE |
Full Video Hii Hapa Unaweza Kubofya Kitufe Cha Play hapo chini, Usikose kutazama VOA TV Breaking News Hapa
Pamoja na Mambo mengine Mwenyekiti wa Arusha Vicoba Empowerment Bw. Hassan Moses aliwakumbusha washiriki ambao ni wananchi kutoka kwenye vikundi mbalimbali vya VICOBA wajue majukumu hasa ya uongozi kwenye Kikundi ili kurahisisha ushughulikiaji wa masuala yanayohusu kikundi.
![]() |
| Mwenyekiti wa Arusha Vicoba Empowerment Ltd Bw. Hassan Moses |
Nao Wananchi /Washiriki wa Semina hiyo walionesha kufurahishwa na mafunzo hayo pamoja huku wakiipongeza Arusha Vicoba Empowerment Ltd kwa kuwapa elimu hiyo pamoja na kuwakabidhi mikopo wanayopewa na Halmashauri kama ilivyopangwa na kwa wakati.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Bi. Grace Macha Amesema kampuni hiyo tayari imetoa mikopo ya zaidi ya shilingi millioni 76 kutoka Halmashauri ya jiji la mikopo kwa kina mama na vikundi vya vijana.
Kwa upande wake Afisa Maendeleo Kata ya Levolosi Bi. Joyce Kimbute ambaye pia alihudhuria Semina hiyo aliiambia Habaritanzaniagracemacha.com na VOA TV kuwa hatua ya Kampuni ya Arusha Vicoba Empowerment Ltd kutoa mafunzo hayo ni Hatua ya Kupongezwa huku akisisitiza vijana na kina mama kujiunga na vikundi mbalibali vya vicoba ili kujikwamua kiuchumi na kuachana na umasikini.
![]() |
| Afisa Maendeleo Kata Ya Levolosi Bi. Joyce Kimbute |
Bw. Honest Mungure na Faith Ephata walieleza umuhimu wa kuhifadhi fedha benki toafuti na kutumia njia za wawekahazina. huku wakieleza utofauti wa kuwa na akaunti katika bnki ya Meru Community Bank na Benki zingine.
![]() |
| Bw. Honest Mungure Bw. Faith Ephata |





0 Comments:
Post a Comment