BREAKING NEWS: Ajali kati ya Treni na Daladala Dar inadaiwa wary wanne 4 wamefariki hapo hapo


Ajali imetokea maeneo ya Davis Corner Tandika kati ya  daladala na treni inadaiwa watu nane wamekufa hapo hapo na majeruhi wapo Temeke hospitali.





0 Comments:

Post a Comment