Jamii ya Waislamu nchini Madagascar imeongezeka zaidi katika kipindi cha miaka saba ya hivi karibuni.
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni, idadi ya Waislamu nchini Madagascar imeongezeka katika kipindi cha miaka saba kutoka asilimia 10 na kufikia asilimia 15. Jean Jack Ravana, amesema kuwa sababu ya ongezeko hilo la wafuasi wa dini ya Uislamu nchini humo, ni kwamba mbali na pande za kimaanawi, dini ya Uislamu inajumuisha pia pande muhimu za kijamii.
0 Comments:
Post a Comment