Rais JPM ameshuka kiutendaji kwa asilimia zaidi ya 20%


Shirika la TWAWEZA lafanya utafiti mpya na kubaini kuwa watanzania wanaokubali utendaji kazi wa rais JPM kimeshuka kutoka asilimia 96 hadi 71.

Twaweza wametuletea chini ya chini ya utafiti uitwao "Matarajio na Matokeo"

Mkurugenzi mtendaji wa Twaweza Aidan Eyakuze amesema idadi kubwa ya wananchi wanazidi kukubali  utaendaji wa Rais Magufuli lakini kushuka kwa kiwango chake cha utendaji ni vile pia inavyoshuka utendaji kasi wa madiwani na wabunge , Bw. Aidan amesema Kiwango hicho kimeshuka hasa pale ambapo wameangushwa katika utatuzi wa shida za wananchi..

Chanzo MCL

0 Comments:

Post a Comment