Marekani na Uturuki yajadili Hali ya Siasa ya Mashariki ya kati

Marekani na Uturuki yajadiliana kuhusu matukio ya kanda ya Mashariki ya Kati
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu afanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Marekani Rex Tillerson .
Viongozi hao wawili walijadiliana kuhusu mzozo wa hivi karibuni wa Qatar pamoja na matukio yanayoendelea Syria na Iraq.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari ni kwamba mazungumzo hayo ya simu yalifanyika jioni ya siku ya Jumamosi baada ya Tillerson kuomba kufanya mazungumzo hayo.

0 Comments:

Post a Comment