Lissu Aweka tahadhari usajili wa bodi ya Usajili wa mawakili


Kufuatia mapendekezo ya uundwaji wa bodies ya usajili wa mawakili Raid wa TLS Tubdu Lissu ametahadharaisha suala suala hilo kuwa na madhara hapo baadaye. 

"Mabadiliko haya ni hatari sana kwa uhuru wa wanasheria nchini, tumekutana hapa kuelezana na kupokea maoni ya wanachama kisha tutaweka msimamo wetu baada ya baraza la TLS kukaa," amesema Lissu.

Tundu Lissu amesema hilo leo June 30 Alipokuwa akifungua mkutano wa dharura wa chama cha wanasheria nchini TLS ambao una lengo la kupata maoni ya wanachama kuhusu suala hilo. 

0 Comments:

Post a Comment