Haya ni Mataifa 6 ya kiislamu yaliyolengwa na Sheria ya Marufuku ya kuingia Marekani


Iran, Syria, Somalia, Sudan na Yemen pamoja na wakimbizi wote.

Watakao ruhusiwa ni pamoja na wale kwenye uhusiano Wa Kifamilia , VISA, na mahisiano ya kibiashara. 

Ikumbukwe sheria hii ilikuwa moja ya Sera ya Rais Trump alipokuwa akigombea Urais wakati wa kampeni za uchaguzi Mkuu.

0 Comments:

Post a Comment