Kesi ya jinai namba 441 na 440 zinazomkabili Mbunge Wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema itasikilizwa katika mahakama ya Wilaya iliyoko Sekei l.
Hapa chini kuna taarifa iliyotolewa na Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Kaskazini inathibitiaha kuwepo kwa kesi hiyo.
"TAARIFA CHADEMA KANDA YA KASKAZINI
Kesho saa 3 asubuhi kesi za jinai namba 441 na 440 zinazomkabili Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. GODBLESS LEMA zitasikilizwa hoja ya awali (Preliminary Hearing) mbele ya Hakimu Mkazi Mhe. Kamugisha D.K. kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei.
Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Mbunge na kuthibitishwa na Wakili John Mallya anaemtetea Mbunge huyo imesema Mbunge atapanda kizimbani mapema asubuhi akisindikizwa na wananchi wa jimbo lake, madiwani, na viongozi wengine wa Serikali na Chama.
kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge huyo kufuatia matamshi anayoshutumiwa kuyatoa kwenye mkutano wa adhara kwamba "Rais Magufuli atakufa akiendelea kujifanya yeye ni Mungu" itasikilizwa.
Imetolewa na;
Mozec Joseph
Afisa Habari-CHADEMA Kanda ya Kaskazini
19.06.2017"

0 Comments:
Post a Comment