Katika picha ni Mwenyekiti Wa Halmashauri Hai Mh Helga Mchomvu akikamatwa na Jeshi la Polisi. Picha ya Chadema Kanda ya Kaskazini |
Sababu za kukamatwa kwake bado haikuwekwa wazi tunajitahidi kutambua sababu zilizopelekea kukamatwa kwa mwenyekiti huyo.
Chanzo cha Habari kimethibitisha kukamatwa na kuhojiwa kwa kiongozi Hugo.
"Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai Mhe.Helga Mchomvu muda huu anatoa maelezo katika kituo cha polisi Boma ya Ng'ombe,baada ya kukamatwa na jeshi la polisi."
0 Comments:
Post a Comment