EXCLUSIVE: Umesikia hii ya Billions alizozikwa Nazo Ivan Don zifukuliwe


Wanasheria wakiongozwa na Tugume Gideon wa Human Rights Defenders Association Uganda wamesema hawakufurahishwa na kitendo cha RICH GANG cha kuzika mamilioni ya pesa ndani ya kaburi, na kwa vile ni kinyume cha sheria, wameamua kwenda mahakamani kuomba kaburi la Ivan lifukuliwe, pesa zitolewe zikafanye shughuli nyingine na waliohusika washitakiwe kwa kuharibu kwa makusudi alama ya taifa. 

Una maoni gani juu ya hili? Unahisi ni sahihi kaburi kufukuliwa? 

Weka maoni yako hapo chini kwenye comment



0 Comments:

Post a Comment