Baada ya Rais JPM kunteua mama Anna Mgwira kuwa RC Kilimanjaro hiki ndicho kinachoendelea

Kama tulivyokutaarifu awali kuhusu taarifa za kuteuluwa kwa mama Anna Mgwira kuwa mkuu mpya Wa mkoa Wa Kilimanjaro.  LEO ni siku rasmi ya kuapishwa ikulu jijini Dar Es Salaam

Hapa chini nimekuwekea Picha Kutoka V.O A TV ikimuonesha mama Anna Mgwira akipanda gari tayari kuelekea ikulu 


0 Comments:

Post a Comment