HIVI PUNDE: BAADA YA TAARIFA YA KIFO CHA MZEE FRANCIS MAIGE


Ni taarifa ya kusikitisha mtu wangu ambapo taarifa kutoka Hospitali ya Taifa Ya Mubimbili kuwa Mzee aliyechora nembo ya Serikali ya Tanzania.

Mzee Francis Maige amefariki dunia Tarehe 29 Katika Hospitality ya Muhimbili ambapo siku ya Alhamisi mzee Hugo alitolewa Hospitali ya Amana na kupelekwa Muhimbili baada ya hali take kuwa serious zaidi.

Mwili Wa Marehemu umehifadhiwa katkk chumba cha kuhifadhi maiti hospitalini hapo . Ambapo baada ya hapo unasubiriwa utaratibu Wa mazishi kutoka kwa mamlaka husika.

0 Comments:

Post a Comment