UPDATES: ACACIA Yapinga ripoti ya kamati ya Rais JPM ya uchunguzi makontena ya mchanga wa dhahabu

Bw. Brad Gordon

Siku moja baada ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupokea ripoti ya kamati ya kuchunguza makontena yaliyosadikika kusafrisha mchanga wa dhahabu nje ya nchi Mtendaji mkuu wa ACACIA atoa majibu jui ya tuhuma makontena ya dhahabu

Tazama hotuba ya Rais JPM na alichosema  Jana.

Taarifa ya ACACIA Iliyotolewa rasmi leo. 


Katika taatifa hiyo ACIA wamepinga ripoti ya kamati ya uchunguzi wa KONTENA za kupeleka mchanga wa dhahabu nje ya nchi.
Aidha mkurugenzi huyo amesema ujio wa taarifa hiyo unaweka bayana watu kuona kuwa ni nani wa mumuamini na nano mkweli.




0 Comments:

Post a Comment